Posted on: July 20th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amewataka watumishi wa umma kuondoka Ofisini na kwenda kwa wananchi kusikiliza na kutatua kero zao.
Alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara...
Posted on: July 20th, 2020
WAZAZI wenye watoto katika Shule za Msingi na sekondari Mkoani Tabora wameshauriwa kuangalia uwezekano kuchangia chakula kwa ajili ya watoto wao.
Hatua itawasaidia kuongeza usikivu darasani na hati...
Posted on: July 10th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amewataka Vijana walioajiria katika sekta mbalimbali za umma kuhakikisha wanafanyakazi kwa bidii na kwa kuzingatia misingi ya uadilifu na uzalendo.
Alit...