Posted on: April 24th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh.Balozi Dkt. Batilda Salha Burian leo tarehe 24/04/2023 amezindua miradi mitatu ya maji wilayani Igunga. Ambapo miradi hiyo mitatu ni sehemu ya miradi saba yenye th...
Posted on: April 13th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Balozi Batilda Salha Burian leo tarehe 13/04/2023 amekutana na kuongea na wakazi wa kata ya Kigwa wilayani Uyui. Akiongea na wananchi hao, Dkt. Batilda amesema kuwa, s...
Posted on: April 2nd, 2023
Kufuatia kongamano la kibiahara lililofunguliwa leo Mkuu wa Hazina ndogo (M) Tabora Ndugu. Amina Said Muhomba ambaye alimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Buri...