Posted on: October 11th, 2023
Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha ameyafungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani katika viwanja vya Chipuk...
Posted on: October 10th, 2023
Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Dunian Kwa mwaka huu yanafanyika Mkoani Tabora kwenye viwanja vya Chipukizi vilivyopo Manispaa ya Tabora kuanzia Oktoba 11, 2023 hadi Oktoba 13, 2023.
Kauli mbiu ya mw...
Posted on: October 10th, 2023
Kwa niaba ya wananchi wa Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Docto...