Posted on: September 18th, 2023
Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Septemba 18, 2023 umepokelewa Wilayani Uyui, ukitokea Wilaya ya Urambo.
Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mhe. Zakaria Mwansasu ameupokea Mwenge huo...
Posted on: September 17th, 2023
Picha zikionesha Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Abdalla Shaib akitembelea Kikundi cha Vijana cha Twende Pamoja kilichopo Usoke Wilayani Urambo. Ambapo kikundi hiko kilipatiwa jumla ya shilin...
Posted on: September 17th, 2023
Picha zikionesha Uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa barabara ya lami Usoke-Center 1 yenye urefu wa Kilomita 1.5 iliyopo Usoke Wilayani Urambo. Imesimamiwa na TARURA ambapo jumla ya shilingi milioni 750 zi...