Posted on: May 11th, 2020
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa watumishi wote waliopewa mashine za kukusanyia mapao (POS) ambao hadi hivi wadaiwa mapato waliyokusanya kwa kutoyawasilisha Benki....
Posted on: May 7th, 2020
TABORA YAKUSANYA BILIONI 13.5 TOKA MAPATO YA NDANI TOKA JULAI HADI MACHI
JUMLA ya shilingi bilioni 13.5 zimekusanywa na Halmashauri za Mkoa wa Tabora katika kipindi cha Julai hadi Machi mwaka huu.
...
Posted on: April 3rd, 2020
VIONGOZI wa Dini Mkoani Tabora wameiomba Serikali kutowaone aibu wale wote wanaoleta mzaha na wanaotafuta umaarufu kupitia janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaoeneza na kirusi...